Monday, April 23, 2012

LEO KATIKA MAGAZETI

Magazeti Leo Jumatatu



















Nini Sasa? Jamani, Matusi Ya Uwanjani Huwa Hayaandikwi Magazetini

Ndugu zangu, 
Nimeliona gazeti hili jana kwenye meza ya magazeti. Kichwa hicho cha habari kilinikera.  Nimefurahi dada yangu Subi naye amekerwa na kuliweka mtandaoni kama mada ya kujadili. Chanzo: http://www.wavuti.com

No comments: