Friday, July 6, 2012

MILA NA TAMADUNI ZA WAHAYA KILA MMOJA NA JUKUMU LAKE

Kama sio kualibika kwa tamaduni za kihaya mwanake wa kihaya anapaswa kumenya ndizi kwa kutumia OLUASO na sio kisu OLUASO ni mfano wa kisu katika mwonekano lakini uchongwa kutoka kwenye mti ujulikanao kama OMUSHEKEANDA.


Kwa kawaida katika tamaduni za kihaya ni vigumu sana kuona wanaume wa kihaya wanatumia glasi kunywa rubisi kwa mara nyingi huwa wanatumia KIBUYU(EKILELE) na (OLUSHOIGO) kwani ni taratibu zao uku wakibadilishana mawazo kama watu wazima.

No comments: