Mfanyabiashara  maarufu na Kada wa CCM, Mzee Mustafa Jaffer Sabodo akikabidhi hundi ya  Sh10m kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),  Dkt. Willibrod Slaa nyumbani kwa Upanga, Dar es Salaam. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa CHADEMA, Antony Komu. Fedha hizo  ilikuwa sehemu ya mchango mwingine wa Mzee Sabodo pamoja na ahadi kwa  ajili ya kusaidia shughuli za chama hicho kuendelea kufanya kazi zake za  kuimarisha na kueneza mtandao wake, ngazi za mitaa na vitongoji nchi  nzima.

Dkt. Slaa akipeana mkono na Sabodo.
No comments:
Post a Comment