Monday, May 21, 2012

MAWASILIANO YA SIMU

Je enzi zako wewe msomaji ungeweza kobofya simu kama dogo huyu (KAMANDA)
Da!!! mtandao wa leo kimeo kwelikweli
Ngoja nimtumie sms si anajidai kutopokea simu subili
 Au nifate nini haniju huyu
 Tayari kwa safari.
 Hammer  la  kamanda Johanes Kyarukamba

No comments: