Sunday, April 22, 2012

MKUTANO MKUU WA TFF WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Nini kilijili jana

Rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Bw.Leodegar Tenga akitoa hotuba kwenye mkutano mkuu wa (TFF) wa wajumbe kutoka mikoa yote hapa nchini unaofanyika katika ukumbi wa NSSF WATER FRONTR jijini Dar es salaam mkutano huo ni wasiku mbili Bw.Leodegar Tenga amewataka wajumbe kuheshimu kanuni za soka.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
.
Juliana Mtagi Yasoda Naibu Mkurugenzi wa michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  akitoa msisitizo wakati alipotoa mada  katika mkutano huo.
Mjumbe wa kudumu CAF mhe Said El Maamri akitoa msisitizo katika mkutano huo
Mwenyekiti mstaafu wa FAT Muhidini Ndolanga akisisitiza jambo katika mkutano huo leo.
Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi (TFF) Bw; Deo Lyatto (wakwanza kushoto).(katika  mwenyekiti mstaafu wa FAT Muhidini Ndolanga  wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi.
Wajumbe walioudhuria wakiwa katika mkutano huo
 Mwenyekiti wa Simba Mh. Aden Rage kushoto akiwa pamoja na wajumbe wengine wakisikiliza kwa mamkini kilichojiri katika mkutano huo.
Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Bw.Leodegar Tenga watano kutoka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano

No comments: