Thursday, April 12, 2012

YALIYOJIRI SONGEA LEO

Baraza la madiwani Manispaa ya Songea lakutana leo

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea leo kabla ya kikao cha baraza la madiwani .
(Na Revocatus A.Kassimba wa ofisi ya mkuu wa mkoa Ruvuma)
Diwani wa Kata ya Ruvuma Mhe.Victor Ngongi akizungumza wakati wa kikao cha baraza la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea kilichoketi kwa ajili ya kupitisha bajeti ya mwaka 2012/2012 hivi leo
 
Msafara wa Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Charles Mhagama ukielekea katika ukumbi wa mikutano tayari kwa kikao cha kupitisha bajeti ya mwaka 2012/2013.
Chanzo ni FULL SHANGWE

No comments: