Mjumbe- " Mwenyekiti, Bukoba Tumeshakombolewa!"
Mwenyekiti,mimi ni kijana na ninaishi Bukoba Misenyi alipokuwa Nape juzi.nimeona tamko la vijana wanaoishi Dar na nimeona mtu mwingine anayesema haoni kosa la Nape.Sisi vijana hapa misenyi tulisusia mambo ya nape kwa sababu tumesikia anaendesha chama kama mali yake.na kweli hata alipokuwa hapa anatoa maagizo kama mtu anavyoagiza wafanyakazi wa kampuni binafsi.sisi hatukuona kama kuna la maana tungepata kwenye vikao vyake,ukizingatia viongozi wa hapa ni kujuana tu.tunasubiri uchaguzi tuchague CHADEMA.nape abaki na wazee wake akina malinzi ndiyo aliona ni vijana hasa.
Mujwahuzi.
No comments:
Post a Comment