![]() |
Nyota ya Kijani-Hivi karibuni katika kijiji cha Bugango wilayani Missenyi |

Safari ya ELIMU sawa kwa wote bado ni ndefu
![]() |
Selikali na wananchi kwa ujumla tuna kila sababu ya kushirikiana ili kuwafanya wanafunzi hawa wajivunie kuwa shuleni na sio wakiamka wanawaza leo itakuwaje.
Elimu bora sio kwa mazingira yenye bacteria na kukalia bench bali ni kukalia dawati walau kila dawati moja wanafunzi wawili wawili ili wapate kujifunza kuandika vizuri na kutunza mali zao.
No comments:
Post a Comment