Msanii wa maigizo nchini Dr Chen (katikati) akitoa ufafanuzi juu ya michango ya msiba huo.…
Msanii wa maigizo nchini Dr Chen (katikati) akitoa ufafanuzi juu ya michango ya msiba huo.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu.
Pichani juu ni badhii ya mashabiki wa Kanumba waliopoteza fahamu na kudondoka chini baada ya kupata taarifa za kifo chake cha ghafla.
Miss Tanzania Happiness Magesa akimtuliza mmoja wa waombolezaji.
Umati wa waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Kanumba.
Mbuge wa Ubungo John Mnyika (Kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Global Publishers Eric Shigongo, (Kulia) ni ndugu Abdallah Mrisho.
Diwani wa Sinza Mr Simple (Kushoto) akiteta jambo na Mbunge wa Ubungo Mh: John Mnyika.
Mmoja wa Wakurugenzi wa Clouds FM, Ruge Mtahaba (aliyesimama) akimsikiliza Mhe:John Mnyika Mnyika.
Waombolezaji mbalimbali wakifarijiana kuhusu msiba wa kushitua wa Kanumba.
Msanii mahiri wa fialmu nchini tanzania Steven Kanumba, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kusukumwa na mpenzi wake wakiwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam. Mpenzi anayedaiwa kuwa nae amefahamika kwa jina la Lulu. Nyumbani kwa Marehemu Kanumba kumefurika waombolezaji wengi sana ambao wamefika kuomboleza msiba huo huku wengine wakija kuhakikisha kama habari ni za kweli.
(PICHA: Imelda Mtema, Erick Everist, Issa Mnally/GPL)
MSIBA WA KANUMBA: NI VILIO MUHIMBILI
Posted by FOUR WAYS BUKOBA April 7, 2012 at 04:42pm ii wakiomboleza.
Mashabiki wakipiga kelele huku wakitaka kuelezwa chanzo cha kifo cha Kanumba…
Wasanii wakiomboleza.
Ni simanzi tupu kutoka kwa wasanii.
Wasanii wakiomboleza.Ni simanzi tupu kutoka kwa wasanii.
Irene Paul akilia kwa uchunguMashabiki wakipiga kelele huku wakitaka kuelezwa chanzo cha kifo cha Kanumba
Baadhi ya waombolezaji wakiamisha vifaa kwa ajili ya kupata nafasi ya kukaa.
Ilikuwa ni vilio, simanzi isiyo na kifani kuanzia saa 6 usiku wa kuamkia leo kutoka kwa wasanii na wadau mbalimbali waliokwenda kushuhudia msiba wa msanii mkongwe wa filamu, Steven Kanumba katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili dakika chache baada ya mwili huo kufikishwa hospitalini hapo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi.
No comments:
Post a Comment