TATIZO LA KUTOFATA TARATIBU ZINAZOTOLEWA NA SHILIKISHO
 
Marcus Mpangala Kwenye Facebook Yake: Mwandishi Wa Kitabu Cha Kanumba Kufunguliwa Mashtaka? 
"ZUBAGY   AKILIMIA KUFUNGULIWA MASHTAKA? Nilisema hapa kitabu cha HISTORIA YA   KANUMBA hakijaandikwa kwa ruhusa ya familia yake. Na wasimamizi wake   SHIRIKISHO LA FILAMU wamemkamata MUUZAJI vitabu vya HISTORIA YA KANUMBA   pale BUGURUNI na alifikishwa POLISI kituo cha BUGURUNI. SHIRIKISHO LA   FILAMU na Familia ya KANUMBA wamechukua hatua. Na wamesema MWANDISHI WA   KITABU NA MCHAPISHAJI lazima wachukuliwe hatua. Na nyuma ya kitabu  hicho  kuna mawasiliano ya mwanishi wa kitabu. Naam nimeupenda sana  mchezo huu  wa kufundishana adabu. NITAENDELEA KUWAFAHAMISHA  KINACHOENDELEA KATIKA  HILI SABABU NAUNGA MKONO SHERIA KUCHUKUA MKONDO  WAKE"- Marcus Mpangala
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment