Pinda Amwakilisha Jk Kikao Wa SADC
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa kwa gwaride baada ya kuwasili   kwenye uwanja wa ndege wa Luanda, Angola May 31, 2012 kumwakilisha Rais   Jakaya Kikwete katika Kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya Maendeleo ya   Kusini mwa Afrika, SADC. Anaongozwa na Waziri wa  Nishati na Maji wa   Angola  Joao Baptista Borges. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na Waziri wa Nishati na Maji wa   Angola, Joao  Baptista Borges baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege   wa Luanda nchini Angola May  31, 2012 ambako  atamwakilisha Rais  Jakaya Kikwete katika kikao cha  Wakuu wa Nchi za   Jumuiya  ya  Maendeleo  ya Kusini mwa Afrika SADC Juni 1, 2012. (Picha na  Ofisi  ya  Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na   Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe baada ya kuwasili Luanda Angola   May 31, 20121 ambako atamwakilisha Rais Jakaya Kikwenye katika Kikao  cha  Wakuu wa Nchi  za Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika SADC Juni 1, 2012.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Mizengio Pinda akisalimiana na Rais wa Angola Jose Edwardo   dos  Santos katika kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleoo ya   Nchi za Kusini mwa Afrika SADC kilichofanyika  Juni 1, 2012 Mjini  Luanda  Angola . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment