Thursday, November 29, 2012

MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAFUNGUA JENGO LA OFISI ZA JUMUIYA HIYO JIJINI ARUSHA

Rais Jakaya Kiwete, Rais wa Kenya, Mwai Kibaki  (wapili kulia) na Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza wakivuta kamba kuashiria ufunguzi wajengo jipya la makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki mjini Arusha Novemba 28,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro,baada ya  sherehe za uzinduzi wa jengo la O(fisi kuu za Jumuiya ya Afrika Mashariki mjini Arusha Novemba 28, 2012. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Prince Karim Aga Kahan  katika sherehe za uzinduzi  wa jengo la Ofisi Kuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Mjini Arusha Novemba 28,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: