Lile
pambano la ngumi kati ya mwaite juma na Baina mazola limekamilika na
kesho watazipiga katika ukumbi wa DID mabibo ambapo pia shughuli za
upimaji zilifanyikia hapo chini ya oganaizeshen ya ngumi za kulipwa
nchi[TPBO] zikisimamiwa na ibrahim kamwe"bigright" akisaidiwa na said
chaku,kuhakikisha zoezi zima la upimaji linakwenda sawa.
akilizungumzia
pambano hilo ndugu mzazi anaeleza kuwa maandalizi yote yapo kamili na
mabondia wote wapo vizuri na wana hari ya uzipiga iliyobaki ni kusubiria
hiyo siku tu.
naye
kwa upande wake katibu wa ngumi za kulipwa nchini IBRAHIM
KAMWE"Bigright" amethibitisha kukamilika kwa asilimia kubwa ya
maandalizi ya pambano hilo mabondia wapo katika afya njema na kutakuwepo
na mapambano ya utangulizi kati ya ISSA OMARI atazipiga na JAMES
MARTINE, FARAJA SAID"TORES" atapigana na JUMA ALI,nae HERMAN RICHAARD
SHEKIVULI atapimana ubavu na OMAR RAMADHAN,huku MPOLE MCKENZIE na ADAM
BARNABAS nao watakuwepo ulingo kwa kudundana.
Zaidi ya mapambano hayo pia kutakuwepo na maonesho mengiyo ya sanaa za ngumi za watoto
No comments:
Post a Comment