Tuesday, May 7, 2013

PICHA 8 ZA KANISA LA ARUSHA LILILOSHAMBULIWA NA BOMU




Ongeza kichwa
 Taarifa zilizotufikia ni kwamba tukio hilo la mlipuko wa bomu lilitokea majira ya asubuhi katika uzinduzi wa  kanisa katoliki parokia mpya ya Olasiti huko jijini Arusha.
Bomu hilo limelipuka wakati waumini wa kanisa hilo wakiendelea na shughuli za uzinduzi wa kanisa lao,mpaka sasa bado haijafahamika idadi kamili ya majeruhiwa lakini taarifa zinasema kwamba baadhi ya watu wamejeruhiwa na kuwahishwa hospitali kwa ajili ya matibabu.








No comments: