Saturday, September 14, 2013

Upinzani Syria wakana makubaliano;


Mkuu wa kijeshi wa upinzani nchini Syria, Jenerali Selim Idris, amekataa makubaliano baina ya Marekani na Urusi kuhusu silaha za kemikali za Syria.
Akizungumza na waandishi wa habari nchini Uturuki, Jenerali Idris alisema makubaliano hayo hayatamaliza msuko-suko wa sasa.(P.T)

No comments: