Monday, October 22, 2012

Wanahabari Wafunzwa Uandishi Wa Migogoro Ya Ardhi


Joseph Chiombola, Mwezeshaji wa mafunzo ya wanahabari wa Nyanda za Juu Kusini kuhusu Haki za Ardhi akifafanua jambo kuhus Masuala ya Msingi katika Sera na Sheria za Ardhi Tanzania mjini Iringa leo asubuhi.
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali la HAKIARDHI, Yefred Myenzi, akifafanua jambo kuhusu sheria mbalimbali za umiliki wa ardhi katika semina iliyoandaliwa na shirika hilo ambayo inaendelea kwenye Ukumbi wa Neema Craft mjini Iringa. Picha na Mjumbe mwenzenu DM.

 Mwandishi wa ITV, Festo Sikagonamo, akiwa makini kufuatilia mafunzo hayo.

No comments: