Saturday, May 19, 2012

Tanzania Inashiriki Vema Mkutano Wa Mazingira Bonn


Bi Emelda Taikwa Adam, Afisa Mazingira mwandamizi kutoka Ofisi ya makamu wa Rais Akiwasilisha maoni ya Tanzania katika masuala ya Kilimo na mabadiliko ya Tabia nchi, katika mkutano wa sayansi ya Taaluma ya mabadiliko ya tabia nchi unaendelea mjini Bonn Ujeruman


Washiriki Kutoka Tanzania kulia Bi Fauzia Haji kutoka Idara ya Mazingira Zanzibar,Katikati Bi Imelda Adam Afisa Mazingira mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais, na Bw. Ladslaus Kyaruzi Afisa Mazingira Mwandamizi kutoka Ofisi ya Makamo wa Rais wakijiandaa kuwasilisha mada kwa niaba ya nchi za Africa katika mkutano wa Sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabia Nchi unaendelea Mjini Bonn Ujerumani kuhusu Madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia nchi.  

(Picha na Evelyn Mkokoi)

No comments: