Thursday, July 5, 2012

SHINJI KAGAWA AKAMILISHA USAJILI WAKE MANCHESTER UNITED

Welcome to Manchester: Shinji Kagawa arrives at a Manchester hospital for his medical
Manchester United imetangaza kuwa imekamilisha kila kitu kuhusu Uhamisho wa Mchezaji wa Kimataifa wa Japan Shinji Kagawa anayetokea kwa Mabingwa wa Ujerumani Borussia Dortmund baada ya leo Mchezaji huyo kutua Manchester na kufuzu upimaji afya na pia kufanikiwa kupata Kibali cha Kazi cha Uingereza.
Kagawa, Miaka 23, amesaini Mkataba wa Miaka minne unaoanza Julai 1.
Welcome to Manchester: Shinji Kagawa arrives at a Manchester hospital for his medical
Welcome to Manchester: Shinji Kagawa arrives at a Manchester hospital for his medical
Akizungumzia kukamilika kwa usajili huu Meneja wa Manchester United Sir Alex Ferguson ametamka: “Shinji ni Kiungo Kijana mwenye kipaji, mtazamo mzuri na mfungaji! Nimefurahi ameichagua Man United. Ninaamini atafanya vizuri kwa vile uchezaji wake unafaa kwa staili ya United.”
Nae Kagawa alisema: “Hii ni changamoto ambayo naingojea kwa hamu. Ligi Kuu England ni Ligi kubwa Duniani na Manchester United ni Klabu kubwa kabisa.”
Katika Misimu miwili aliyokuwa na Borussia Dortmund, Kagawa ametwaa Ubingwa wa Bundesliga mara mbili na German Cup mara moja na amechezea Klabu hiyo mara 71 na kufunga bao 29 na kusaidia bao 15.
Shinji Kagawa atakuwa Mchezaji wa 5 toka Japan kucheza kwenye Ligi Kuu England wengine wakiwa ni Junichi Inamoto (Arsenal na Fulham), Kazuyuki Toda (Tottenham), Hidetoshi Nakata (Bolton), na Ryo Miyaichi (Arsenal na Bolton).

SHINJI KAGAWA FACTFILE

1989: Born March 17 in Kobe, Japan.
2006: Joins first professional team, Cerezo Osaka, while still a teenager and is selected to represent his country at Under 17 level.
2007: Represents Japan at the FIFA Under-20s World Cup in Canada after an impressive season in which he plays 35 games in J.League Division 2.
2008: Handed his Japan debut in a Kirin Cup match against Ivory Coast. Also represents his country in the Beijing Olympics.
2009: Breaks several records in the league, including becoming the highest goalscorer in J.League Division 2, as Osaka are promoted to the top flight.
2010: Scores seven goals in 11 appearances in the J.League, leading Borussia Dortmund to pay 350,000 (£283,371) for his services, but misses out on a place in Japan's World Cup squad for the tournament in South Africa, where they fall well below expectation.
2011: Helps Japan win the Asian Cup, although does not play in the final as a superb tournament is ended by a metatarsal injury in the semis.
Ends the 2010/11 season with an eight-goal haul for Dortmund, who win their first Bundesliga title in nine years, pipping favourites Bayern Munich.
2012: Helps Dortmund to a domestic league and cup double.
June 5 - Manchester United announce they have reached agreement with Dortmund to sign Kagawa.His value has risen £16.7m in just two years.

No comments: