Maisha ni mzunguko kutokana na mipango ya Mungu. Mkurugenzi wa FOURWAYSBUKOBA BLOGSPOT anasikitika kuwatangazia kifo cha bibi ake mzaa baba kilichotokea siku ya Ijumaa 16/11/2012 na mazishi kufanyika tarehe 18/12/2012
Mungu aulaze mwili wa marehemu pahali pema peponi Amen
No comments:
Post a Comment