Saturday, September 8, 2012

JK Ahudhuria Mkutano Kampala

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Makamu wa Rais wa Kenya Mhe Kalonzo Musyoka aliyemtembelea katika hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala jana Septemba 7, 2012 ambako wote wamewasili kuhudhuria mkutano wa siku moja wa viongozi wa nchi za maziwa makuu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Kenya Mhe Kalonzo Musyoka aliyemtembelea katika hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala jana Septemba 7, 2012 ambako wote wamewasili kuhudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda baada ya mazungumzo mafupi katika hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala jana Septemba 7, 2012. Rais Kikwete amewasili nchini Uganda leo kuhudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala jana Septemba 7, 2012. Rais Kikwete amewasili nchini Uganda leo kuhudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Kampuni ya TBEA Co. Ltd ya China aliyefika kumtembelea Ikulu, jijini Dar es salaam, jana Septemba 7, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuagana na Balozi wa Jamhuri ya Korea Mhe. Young-Hoom Kim aliyemtembelea Ikulu, jijini Dar es salaam jana Septemba 7, 2012 baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini. Kushoto ni mke wa balozi
Picha na IKULU

No comments: