Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Manaibu wake, Mwigulu Nchemba
(Bara) na Vuai Ali Vuai (Zanzibar) baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa
Ndege wa Zanzibar, kwa ajili ya kushiriki sherehe za kupongezwa safu
mpya ya uongozi wa CCM Kitaifa, uliopatikana mjini Dodoma, zinazofanyika
leo Viwanja vya Demokrasia (KibandaMaiti) mjini Zanzibar
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akivishwa Skafu na Chipukizi wa CCM,
baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, kwa ajili ya
kushiriki sherehe za kupongezwa safu mpya ya uongozi wa CCM Kitaifa,
uliopatikana mjini Dodoma, zinazofanyika leo Viwanja vya Demokrasia
(KibandaMaiti) mjini Zanzibar. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM
(Bara) Mwigulu Nchemba na Watatu ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar
Vuai Ali Vuai.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa
Ndege wa Zanzibar, kwa ajili ya kushiriki sherehe za kupongezwa safu
mpya ya uongozi wa CCM Kitaifa, uliopatikana mjini Dodoma, zinazofanyika
leo Viwanja vya Demokrasia (KibandaMaiti) mjini Zanzibar. Wengine
Kuhsoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mjini Magharibi Yusuf Yusuf na
Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Bara) Mwigulu Nchemba, Katibu wa
NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,
Vuai Ali Vuai (Bara) Mwigulu Nchemba na Katibu wa NRC, Itikadi na
Uenezi, Nape Nnauye.
(Picha na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment