Thursday, November 22, 2012

MAISHA YANAITAJI KUJITUMA NA KUJIONGEZA KATIKA KUTAFUTA KIPATO



wahunzi wa vifaa vya kilimo na ujenzi kutoka katika kijiji cha Itahwa kata Karabagaine Bukoba vijijini, wakiwa kazini.
Kwa maisha ya sasa ambapo vijana wanaangaika na ajira katika maisha yao nimebahatika kukutana na baadhi ya vijana ambao kwa sasa wamejipatia ajira kutokana na nguvu zao wenyewe.
Vijana hawa wameweza kuwa na kipato kwa kupitia kazi zao za mikono hasa kwa kutengeneza vifaa vya kulimia vya asili kama ilivyokuwa hapo awali.
Mungu abariki kazi ya mikono yao.
Eliud

No comments: