 Timu
 za Bafana bafana ya Afrika Kusini na Cape Verde zimetoka uwanjani 
katika mchezo wao wa ufunguzi wa kuwania kombe la mataifa ya Afrika kwa 
kutoshana nguvu bila kufungana. Mchezo unaofuata hivi punde ni kati ya 
Angola na Morocco.

| Team | P | W | L | D | GF | GA | Pts | |
| 1 | Cape Verde Islands | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 0 | 1 | 
| 2 | South Africa | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 0 | 1 | 
| 3 | Angola | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 
| 4 | Morocco | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 
 
No comments:
Post a Comment