WANATAALUMA, WATOA MAONI KATIBA MPYA

ELIMU
 Awadh - Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Awadh Said (kulia) 
akiongea na viongozi wa Jukwaa la Mamlaka na Taasisi zinazosimamia na 
kuthibiti ubora wa elimu nchini ulioongozwa na Mwenyekiti wake Prof. 
Sifuni Mchome (mwenye tai katikati). Jukwaa hilo lilikutana na Tume 
katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumapili, Jan 13, 
2013) kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya.


Picha na Tume ya Katiba.
 
 
No comments:
Post a Comment