Sunday, October 7, 2012

Bongo Bwana...!


Baadhi ya abiria wakiwa kwenye gari ndogo aina ya Toyota Land Cruser jana wakifanya safari kati ya Sumbawanga mjini kuelekea Bonde la Ziwa Rukwa, hali hiyo ni hatari kwa watu na mizigo lakini inajitokeza kutokana na ugumu wa usafiri katika maeneo hayo.

        Picha na Mussa Mwangoka,akiwa Sumbawanga

No comments: