Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wananchi wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Takwimu
Afrika, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam, leo Nov 22, 2012.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Brandina Chuwa,
wakati alipokuwa akiwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam, leo Nov 22, 2012 kwa ajili ya kufungua rasmi Maadhimisho ya
Siku ya Takwimu Afrika.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Ofisi ya Takwimu
waliokuwa Meza Kuu, baada ya kufungua rasmi Maadhimisho hayo leo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu
waliohudhuria ufunguzi wa maadhimisho hayo baada ya ufunguzi rasmi
uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Kamishna wa Sensa , Hajjat Amina Mrisho Said, wakati
akiondoka katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Nov
22, 2012 baada ya kufungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika.
No comments:
Post a Comment