Tuesday, December 11, 2012

RAY APEA CHEO KIKUBWA NDANI YA BONGO MOVIE


Msanii wa Filamu za Bongo Movie hapa nchini maarufu kama Ray, siku za hivi karibuni baada ya kikao cha mwisho cha wasanii kilichofanyika Leaders Club aliweza kuteuliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Bongo Movie huku akifuatiwa na Irene Uwoya ambaye ni Makamu mwenyekiti, bila kusahau katibu mkuu mpya ni Chiki Mchoma.
                                                                   Jack Wolper  na JB                 
                Ray akiongea machache baada ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bongo Movie
    Irene Uwoya na Chiki Mchoma wakiwa katika furaha baada ya kuteuliwa kuwa viongozi wapya katika sanaa ya Bongo Movie.

No comments: