Thursday, May 3, 2012

AIRTEL YADHAMINI LIVE SCREEN MECHI YA MAN U NA MAN CITY VIWANJA VYA BIAFRA

Mashabiki wa timu mbali mbali za ulaya wakifuatilia mtanange wa Manchester United na Mancherster City uliofanyika jumatano ya wiki hii katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na kampuni ya simu ya Airtel. Katika mechi hiyo Man City waliibuka kidedea cha kushinda kwa bao 1-0.
 Baadhi ya mashabiki wa timu ya Manchester United wakiwa hawaamini kinachotokea wakati timu hiyo ilipofungwa na mahasimu wao Manchester City goli moja kwa bila.
Mshereheshaji wa mechi hiyo akigawa zawadi kwa mashabik

No comments: