Saturday, August 25, 2012

Filam La Mpira, Mashabiki Wa Arsenal Wamtemea Moto Robin Van Persie.


Na: Freddy Macha.
Urban Pulse na Freddy Macha waweletea habari moto moto siku moja baada ya kutangazwa kuhama kwa mshambuliaji na nahodha wa Arsenal, Robin Van Persie kwenda Manchester United adui wake mkubwa. Mahojiano yalifanywa kando kando ya uwanja maarufu wa Emirates ambapo washabiki walikuwa wakielekea kufurahia mechi ya kwanza ya ligi (2012-2013) baina ya Arsenal na Sunderland.


Bofya hapa kuangalia filam hiyo: http://www.youtube.com/watch?v=DVbe7R9HdYg

No comments: