Tuesday, May 1, 2012

BUKOBA MPYA


Hapa na pale Ujenzi wa Jengo la ghorofa nne ukiendelea kati ya makutano ya barabara ya Arusha na barabara ya Kashozi.
Shughuli ya malekebisho  pembezoni mwa barabara mbalimbali ukiendelea ndani ya Manispaa ya Bukoba.
Mafundi wakiendelea kulichanganya zege.
 Pikipiki maarufu kama Asecdo  anaonekana mdau akiendelea bila Mteja.

No comments: