Tuesday, May 1, 2012

KICHWA CHA BUKOBA


Jimmy Yeyooo!
Ni msanii wa hip hop anayekujaaaaaaaaaaaa katika  tasinia ya Muziki wa Bongo,
Hapa ni pale alipokuwa katika kipimo(interview)hapa mjini Bukoba (VISSION RADIO) pensi  nekundu
Akiwa na Dulah One.



.


Jimmy akiwa anaonesha kipaji chake  kwa wanabukoba
Anakubalika hapa akiimba wimbo wake wa MASINICH unaotamba sana kwenye Vyombo vya  habari ndani na nje ya nchi.
Katika  kumbi za LINAS` NIGHT CLUB akiwa anatumbuiza

No comments: