Friday, October 26, 2012

Swala Ya Idd Zanzibar


 -Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiwa pamoja na Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein (wanne kutoka kushoto)akiomba dua pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali katika Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar Zanzibar
 Viongozi na baadhi ya Wananchi wakiomba dua Baada ya kumaliza Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar Zanzibar

No comments: