Tuesday, June 5, 2012

LULU KURUDI TENA MAHAKAMANI JUNI 18

Mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael 'Lulu'
anayekabiliwa na kesi ya kumuua mwigizaji
mwenzake, Steven Kanumba, akisindikizwa na askari
Magereza kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kusomewa
mashitaka  yake. Kesi hiyo imehairishwa juni 18.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON)

No comments: