Tuesday, June 5, 2012

MBUNGE WA BAHI APANDISHWA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU JNA


Mbunge wa Jimbo la Bahi, Omary Badwel (CCM), akisindikizwa na askari polisi kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo, baada ya kusomewawa mashitaka akituhumiwa kushawishi na kupokea rushwa ya sh. milioni 1. Kesi hiyo imehairishwa hadi juni 18 mwaka huu. (PICHA NA PHILEMON SOLOMON)
Mbunge wa Jimbo la Bahi, Omary Badwel (CCM), akisindikizwa na askari polisi kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo.

No comments: