Monday, June 4, 2012

MWENYEKITI


MWENYEKITI wa chama cha wadau wa ngozi na bidhaa za ngozi Tanzania(LAT) Adam Ngajilo akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa za ngozi yaliyoandaliwa na chama hicho kwa wiki tatu kwa wanachama wa kikundi cha Lumwesa Environment Conservation and Development Association(LECODA) cha kijiji cha Homboza na wengine toka kata ya Mgeta na kata ya Boma Manispaa ya Morogoro,katikati ni diwani Juma Mlangi wa kata ya Mlali na mwisho kushoto ni mwenyekiti wa LECODA Alex Nazaeli(na Merina Robert)

No comments: