MMOJA wa wanakikundi cha Lumwesa Environment Conservation And Development Association(LECODA) akiwa kwenye moja ya mabanda ya mbuzi wa maziwa waliopewa kutokana na ufadhili wa mfuko wa maendeleo ya jamii(TASAF) kwa ajili ya kuanzisha mradi huo katika kijiji cha Homboza kata na tarafa ya Mlali wilayani Mvomero(na merina robert)
No comments:
Post a Comment