Thursday, June 7, 2012

PICHA ZETU LEO USIKU





Ni kijana aliyeibuka hivi karibuni Mjini Bukoba akipitapita sehemu tofauti za mji huu akipiga nyimbo za Injili ili kuweza kujipatia kipato.
Yeye anadai kupitia katika nyimbo za injili Mungu atashusha kheli na kufanya maajabu ya kumfanya apate vifaa vyingi zaidi hasa vya mziki ili kuweza kutangaza neno la bwana kupitia kuimba.
Swali la leo je huu ni ujasilamali au ni nini????????????
Toa maoni yako kupitia kitufe cha maoni ili kuweza kuonesha mawazo yako na ushauri wako juu ya utafutaji huu.

No comments: