Monday, June 4, 2012

WAZIRI WA NCHI AFISI YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS AKITOA TAARIFA YASIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko kisiwani Pemba.
PICHA NA YUSSUF SIMAI ALI MAELEZOZANZIBAR
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akifafanua jambo wakati akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko Kisiwani Pemba.
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko Kisiwani Pemba.
 

No comments: