Tuesday, April 10, 2012

Katibu CHADEMA Alipata Ajali Arumeru


Katibu wa BAVICHA mkoa wa Dar es salaam Ndg Renatus Mrashani akiwa amefungwa POP nyumbani Magomeni Mwembechai.Kamanda Renatus alipata ajali kwa gari lake kugongana na gari  nyingine huko Arumeru kwenye uchaguzi mdogo uliopita.Renatus anawashukuru wana Arumeru na wananchi wote kwa kuichagua CHADEMA,na kumuombea wakati huu mgumu.Anapatikana kwa simu na 0653329668

No comments: