Tuesday, April 10, 2012

Ndege Ya ATCL Yaanguka


 Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATC), aina ya Dash 8-300 iliyokuwa inatoka Kigoma kwenda Dar es Salaam kupitia Tabora, ikiwa imeanguka jana baada ya kuteleza kutokana na tope jingi kuwepo kwenye njia ya kurukia ya Uwanja wa Ndege wa Kigoma. Abiria 35 na wafanyakazi wanne walinusurika kwenye ajali hiyo
 Hali ya ndege inavyoonekana upande wa kushoto
  Wananchi wakiangalia ajali ya ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATC), aina ya Dash 8-300 iliyokuwa inatoka Kigoma kwenda Dar es Salaam kupitia Tabora, ikiwa imeanguka jana baada ya kuteleza kutokana na tope jingi kuwepo kwenye njia ya kurukia ya Uwanja wa Ndege wa Kigoma. Abiria 35 na wafanyakazi wanne walinusurika kwenye ajali hiyo.
  Hali ilivyokuwa inaonekana ndani ya ndege baada ya ajali kutokea jana katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma.
Ndege ya shirika la ATCL imeanguka mkoani Kigoma baada ya kushindwa kuruka, imeharibika vibaya, taarifa za uhakika zinasema kwamba hakuna mtu yeyote aliyeumia sana. Utaratibu wa kuwasafirisha abiria unafanywa jijini Dar es Salaam.

No comments: