WADAU NDANI YA LINAS NIGHT CLUB JANA USIKU
Msanii wa Abba One, ni msanii wa hapa
hapa Nyumbani,ni mkali wa R&B
Dada hope Kasimbazi wa Makoko kama kawaida ndani ya nyumba
Wadau wa burudani ndani ya Linas Night Club
Mdau Ibrahimu Idd Maburuk akifatilia kinacho ndani ya Llinas Night Club
Wasanii wa Bukoba(Mkali wa kager) wamepata shavu na kuweza kumsuport Msanii Diamond, Pichani ni Msanii Bk Sunday akiimba kwa hisia
Wadau wakiwa wametulia kama maji mtungini wanaangalia show
No comments:
Post a Comment