MAPOKEZI YA MSANII CHIPUKIZI WA BONGO FRAVA DIAMOND
Ni majira ya saa nane dege lilomleta Diamond likiwasili ndani ya Bukoba AIR PORT
Ni Diamond ndani ya Bukoba
Ni wadau waliopewa jukumu la kumpokea msanii huyo kushoto Bw. Jamco kulia Bw.Eras katikati Bw. Kamkulu na Bi.Mainda
Bw.Jamco, Bi.Mainda na Bw. Eras
Bw.Jamco, Bi.Mainda Mdau na Bw. Eras
No comments:
Post a Comment