Wednesday, April 18, 2012

TRAFIC

Trafiki Nguyen Manh Phan akiwa amelidandia basi hilo.

Trafiki mmoja jijini Hanoi, Vietnam aitwae Nguyen Manh Phan, hivi karibuni aliamua kudandia basi baada ya dereva wa basi hilo kukataa kulipia ushuru wa kuegesha gari. Trafiki huyo alilidandia basi hilo baada ya dereva aitwae Phung Hong Phuong kukaidi utaratibu huo. Baadae polisi walimfukuza Phung na kumkamata na anakabiliwa na kesi ya kujibu inayoweza kumpeleka jela kwa miaka mitatu.

No comments: