Thursday, September 13, 2012

UVUNJAJI WA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI


Basi lenye namba za usajili T329 AMD likiwa limesheni mizigo kuliko uwezo wake likielekea Itigi. Basi hilo lilikuwa likisafiri katika barabara ya Tabora-Itigi-Manyoni
Basi hilo linalosadikia kuwa na abiria waliozidi idadi kulinga na uwezo wake pia na kubeba kulionesha ukiunkwaji wa sheria na kanuni za Tanzania ya kuwa gari la abiria halirusiwi kubeba mizigo je maasikali wa usala bararani walikuwa wapi.

No comments: