Thursday, May 3, 2012

ZIARA YA RAIS DK MOHAMED SHEIN KASKAZINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, akiwasalimia    Wananchi wa Bwekunduni baada
kuizindua barabara ya kifusi katika shehia hiyo jana alikuwa katika
ziara yaa mkoa wa kaskazini Ujguja ya kuangalia maendeleo ya miradi
mbali mbali ya kijamii katika wilaya ya kaskazini A.[Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, (katikati)akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja Pembe Juma Pembe,(kulia) wakati alipowasili katika viwanja vya
Chuo cha Amali Mkokotoni akiwa  katika ziara ya Mkoa huo iliyoanza
leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, (wa tatu kushoto)akipata taarifa ya utekelezaji
wa kazi za  Mkoa wa Kaskazini Unguja,iliyosomwa na Maalim Maulid
Nafasi Juma, leo katika  ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni akiwa
katika ziara ya kuangalia maendeleo ya  miradi mbali mbali ya kijamii
katika Mkoa huo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, akipokea  taarifa ya utekelezaji wa kazi za  Mkoa
wa Kaskazini Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja Pembe
Juma Pembe, leo  katika  ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni akiwa
katika ziara ya kuangalia maendeleo ya  miradi mbali mbali ya kijamii
katika Mkoa huo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, (katikati) akizungumza na viongozi na watendaji wa
Wilaya ya kaskazini B, katika  ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni,
akiwa  katika ziara ya kuangalia maendeleo ya  miradi mbali mbali ya
kijamii katika Mkoa huo,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya rais na
mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame, (kulia) Waziri
wa Nchi Ofosi ya Rais  Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar
Kheir na Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pembe Juma Pembe.[Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la
msingi madasrasa mapya katika Skuli ya Matemwe Kigomani jana
aliupokuwa katika ziara ya wilaya ya Kaskazini B Unguja,  Mkoa wa
Kaskazini kuangalia maendeleo ya  miradi mbali mbali ya kijamii katika
Mkoa huo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments: