Rais Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakipozi na Jaji Jacob Mwambegele pamoja na wafanyakazi aliokuwa akifanya nao kazi akiwa kiama Msaidizi wa Katibu wa Baraza la Mawaziri (CABINET UNDER SECRETARY), Kamati ya Katiba, Sheria na Bunge.
Nafasi yake sasa imejazwa leo na Bw. Stephen N. Kagaigai
Rais Kikwete akijichanganya na wadau wa Mahakama Kuu baada ya kuapisha majajiMajaji wapya wa Mahakama Kuu wakila pozi na wadau
Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu. Toka shoto ni Jaji Patricia Saleh Fikirini, Jaji Joaquine Antoinette De-Mello na Jaji Latifa Mansoor
Jaji Joaquine Antoinette De-Mellona nduguze
Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman akimpongeza Jaji Francis Mutungi
Shada la Maua kwa Jaji Mutungi
No comments:
Post a Comment