Friday, July 20, 2012

MWEZI MTUKUFU WA RAMADAN


 Mtandano wa www.sufianimafoto.blogspot.com, unawatakiwa wadau wote mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
 Kutokana na mkanganyiko wa kuonekana kwa muandamo wa mwezi,, siku ya leo kuna baadhi waislamu walioanza kufunga mwezi mtukufu kwa wale ambao walidhibitisha kuonekana muandamo huo katika Mkoa wa Dodoma, huku wengine wakianza rasmi kufunga siku ya kesho.
Kesho waumini wa dini ya kiislamu wote wanatarajia kuwa katika mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan.
MWEZI WA KTUBU NA KUMRUDIA MUNGU
Kuna vitu vya kuchezea duniani lakini sio simu maalumu kwa dini husiki nina maana mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa Waislam na Mwezi wa Kwalezima kwa wakristu.
Hpa kila mmoja anaanswa kuacha kutenda dhambi na kumrudia mungu wake kwa kumtaka amusamehee dhambi zake.
Ndugu zanguni leo ni mwanzo wa Mfungo wa Ramadhan kubali kuitesa na kujininyima ili kuweza kufuta dhambi zako zote.
Pia hata wale wasio waislamu mnaomba kuwaunga mkono ndugu zenu kwa kuwaasa wasifanye dhambi na kuwaondelea vishawishi vya kuwatendesha dhambi
MUNGU WABARIKI WOTE WENYE NIA YA KUFUNGA KUTOKA MOYONI MWAO

Na Eliud

No comments: