Friday, July 20, 2012

Watangazaji wa Radio kasibante watoa pole kwa Mh.Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia na ajari ya kuzama kwa meli Zanzibar

Aman Jackson Kabuga akiwa na mwenzake Jelome John katika studio za kasibante FM radio Mjini Bukoba

Wakiongea kwa uzuni mkubwa  wamesema kuwa janga  hili ni la kitaifa kwa ujumla kulinganishwa na majanga kama hayo yalioyowai kutoke hapo nyuma.
Wamesema salamu za rambirambi zimfikie Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Dr. Shain
Pamoja na watanzani wotekwa ujumla.
Na wamewaomba watanzania kufalijiana katika kipindi hiki kigumu sana kwani ni wakati wa majonzi kwa wale waliopotelewa na ndugu zao.Mungu azilaze mahali pema peponi roho za marehemu wote waliopoteza maisha katika ajari hiyo
Kazi ya Mungu haina makosa 
Mungu ibariki Tanzania,Mungu  ibariki Afrika

No comments: