Wednesday, June 13, 2012

MATUKIO YA JUZI KATIKA BUNGE

Matukio ya Bunge la Bajeti Juni 11


Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul na watoto wake Irene (kushoto) na Inocentia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12,2012.

Spika wa Bunge Anne Makinda akimkabidhi kanuni za Bunge Mbunge wa Kuteluliwa James Mbatia baada ya kumwapisha, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12,2012

Mbunge wa Kuteuliwa Janet Zebedayo Mbene akiapa, Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012.

Mbunge waKuteuliwa Saada Mkuya Salum akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa (kushoto) na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2012.
Mbunge wa Kuteuliwa, Sospeter  Mwijarubi Muhongo akiapa, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12, 2012.

No comments: