Thursday, June 14, 2012

Moto Mkubwa Wateketeza Maduka Kumi Iringa...

Moto mkubwa ambao chanzo chake bado kufahamika umeteketeza zaidi maduka 10 eneo la Miyomboni katika Manispaa ya Iringa usiku huu. Moto huo ambao chanzo chake bado kufahamika umezuka majira ya saa 2 usiku huu katika eneo hilo la Uhindini kata ya Miyomboni mjini Iringa.

No comments: